Exodus 23:13

13 a“Uzingatie kutenda kila kitu nilichokuambia. Usiombe kwa majina ya miungu mingine, wala usiyaruhusu kusikika kinywani mwako.

Sikukuu Tatu Za Mwaka

(Kutoka 34:18-26; Kumbukumbu 16:1-17)

Copyright information for SwhKC